adsence

Pages

Thursday, December 19, 2013

HIZI NDIZO MUSIC TOURS AMBAZO DIAMOND HATOZISAHAU KWA MWAKA 2013

                                                      
Ni moja ya matukio ambayo kila nikiyatazama
 kwenye maktaba yangu ama nikiyakumbuka.
.najiskia ni kias

 gani nina deni kubwa la kutowaangusha mashabiki 
wangu,ni mapenzi ya hali ya juu,me ni nani watu waache kazi zao
 waandamane kunitazama nikipita mtaani???nawapenda
 sana watu wangu and always i will do the best for you,alisema diamond
                                         MPANDA                                                                                                                                                   

Picha 7 za utengenezaji wa video mpya ya Chapa nyingine kutoka kwa Chege Chigunda



cChege yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na director Adam Juma.
Kwenye hiyovideo kuna watu kama Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones na wengine wengi lakini kwa sasa enjoy kuangalia hizi picha

LULU: KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO

Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’.

SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Segerea, Dar basi yangemkuta mazito.

UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI..!! DADA NA KAKA WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA 6 COCO BEACH..!!


UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Usemi huu unakamilishwa na tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya mapenzi   kando ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi

Imefahamika kwamba vijana  hao, kaka na dada   wamenaswa ‘wakingonoka  katika mapango yaliyopo kando ya Ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

MASHABIKI YANGA WASHINDA AIRPORT WAKIMSUBIRI OKWI BADALA YAKE WAJIKUTA WAKIMPOKEA BEKI WA SIMBA GILBERT KAZE

TAZAMA PICHA ZA MAGARI YA MAMILIONI AMBAYO WATOT WA MATAJIRI WANATUMIA KWENDA NAYO CHUONI..!! KIBONGO BONGO UTATAMANI KULIA..!!

Fanya kama unataka kupima uwezo wa wanachuo wa American University of Dubai, kwa mtindo huu, wanachuo hapa hawaendi kusoma sababu wanataka elimu iwatajirishe.

TAZAMA PICHA JINSI ILIVYOKUWA NDANI YA PANTONI BAADA YA KIVUKO KUPOTEZA MWELEKEO JANA MCHANA,MUNGU MKUBWA ABIRIA WOTE WAMETOKA SALAMA

Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga ili iweze kusimama na abiria waweze kushuka..
Tukio hilo ambalo chanzo chake kimetokana na Injini za Pantoni hilo kushindwa kufanya kazi  haikuweza kutia nanga kwa muda wote huo.. na ambapo kulikuwa na upepo mkali sana ambao ulisababisha  Pantoni hiyo kukosa muelekeo na kuanza kuambaa ambaa mpaka maeneo ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kisha kusukumwa zaidi hadi eneo la bandari ya Zanzibar.
Hata hivyo baada ya hali kuzidikuwa si nzuri walilazimika kuita meli ndogo za uokoaji ambapo meli ya kwanza haikuweza kuvuta pantoni hiyo na kulazimika kuongeza meli nyingine ili iweze kuongeza nguvu pamoja na boti za Jeshi la polisi ambazo zote zilifika na kwa ushirikiano mkubwa ziliweza kufanikiwa zoezi hilo la kuirudisha pantoni hiyo katika eneo lake husika. 
Na abiria ambao walinusurika kuweza kushuka na kuendelea na shughuli zao za kawaida..