AUNT EZEKIEL ANASWA MSIKITINI AKIWA NA MAWAZO KIBAOO
PICHA inayomuonesha mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti wa tatu
kwa ukubwa nchini Dubai, Al Farooq imenaswa.
Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti.
Chanzo kilichopo Dubai kimeeleza kuwa, Aunt aliondoka nchini wiki
mbili zilizopita kwenda nchini humo kumtembelea mume wake, Sunday
Demonte ndipo alipoamua kwenda katika msikiti huo lakini alionekana
mwenye mawazo sana.
“Nilimuona akiwa ni mtu ambaye alikuwa hana
furaha kabisa na mara baada ya kutoka msikitini hapo, dada mmoja ambaye
alikuwa naye alikuwa akimpiga picha mbalimbali nje ya
No comments:
Post a Comment