adsence

Pages

Saturday, August 31, 2013

SHANIA TWAIN

 
Opening up: In her first television interview in five years, Shania Twain talks about the heartbreak of her husband leaving her for her best friend
The country singer said the stressful end of her marriage took its toll on her voice. 'I figured I would never sing again,' she told Winfrey

Twain said she not only lost her husband, but her producer and co-writer when she split with Robert John 'Mutt' Lange after he ran off with her best friend, Marie-Anne Thiebaud.

Shania Twain akiwa ni mtoto wa pili kuzaliwa kwenye familia ya watoto 5, alizaliwa Windsor, Ontario, Canada August 28, 1965, akiitwa Eilleen Regina Edwards baba yake mzazi akiitwa Clarence Edwards  mama yake mzazi akiitwa Sharon.  Akiwa na umri wa miaka 2 wazazi wake walitalakiana na baada ya miaka 4 mama yake aliolewa na Jerry Twain (INDIAN) Shania akiwa na umri wa miaka 6.  Jerry Twain alisili (adopt) Shania Twain na ndugu zake na aliwalea kama watoto wake wa kuzaaa.  Shania Twain anasema alimpenda sana baba yake wa kambo kwababu alimpa mapenzi yote ambayo mtoto anastahili kupata kutoka kwa baba.  Waliishi katika hali ya umasikini sana kiasi kwamba baada ya
mama yake kugundua kuwa Shania ana kipaji cha kuimba,  akiwa na umri wa miaka nane (8 years) Shania Twain alianza kutumbuiza radion, televishen na virabuni.

No comments:

Post a Comment