Katika hali ya kushtua kuna taarifa kuwa filamu ya msanii kina kwa
ufuska kwenye kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga "The Don" ameweka
rekodi mpya nchini kufuatia filamu yake kufikisha kopi nyingi ambazo
huenda kiasi hicho hakijawahi kufikiwa na msanii yeyote.
Habari za uhakika toka kwa mtu wa karibu na kampuni ya Steps ambae
aligoma kutaja jina lake kwa madi kuwa yeye si msemaji wa kampuni hiyo
alisema " Kwa kweli hii ni kali unajua hadi sasa hapa ofisini
tunapokea maelfu ya filamu wakihitaji kupata nakala ya filamu ya msanii
huyo" Alisema kijana huyo wa kihindi
Aidha kijana huyo aliongeza kusema kuwa kitu kikubwa kinachofanya watu
kuisubiri kwa hamu filamu ni kutaka kuona msanii huyo aliyejizolea
umaarufu nchini na dunia nzima kutokana na picha za utupu za mabint
zaidi ya 400 ambao baadae hao mabint wote kuwafanyisha filamu hiyo
inayoitwa Ngema huku pia mastaa mbalimbali wakishirikishwa.
Kijana huyo alimaliza kusema kampuni ya Steps imeichukua filamu hiyo na
tayari wako kwenye makubaliano ya mwisho na Manaiki na huenda ikapewa
nafasi ya kuachiwa haraka mtaani kutokana na wananchi wengi nchini
Tanzania na Kenya, Kongo na Uganda kutaka filamu hiyo kuwafikia ili
kuona nini kilichopo ndani yake.
No comments:
Post a Comment