HIVI NDIVYO NIKK MINAJI ALIVYO YAACHA MATITI WAZI NA KUTEMBEA MITAANI
Wiki hii Picha za Nicki Minaj 
zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho kiliacha maziwa yake nje 
zilisambaa katika mitandao mbalimbali na kufanya watu wajiulize kama 
ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au alifanya makusudi kama 
tulivyomzoea.
Picha hizo pia Minaj mwenyewe alizishare
 Instagram kumaanisha haikuwa bahati mbaya, lakini kupitia kipindi cha 
Ellen Nicki amethibitisha kuwa hapendi kuvaa nguo ya kuhifadhi kifua 
chake (bra) na kuziita nguo hizo ‘devil’.
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment