Kigogo
 mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, anayefanya kazi  
katika kampuni ya simu za mkononi  na mwanamke aliyetajwa kwa jina la 
Mwamvua anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu wamerekodi video wakifanya uchafu 
na ‘clip’ hiyo imevuja.
Habari
 za kuaminika kutoka kwa chanzo chetu makini zinasema kwamba mke wa 
kigogo huyo aitwaye Zainab ndiye anayesambaza video hiyo kwenye mitandao
 mbambali na mitaani.
Inaelezwa kwamba, Zainab alianza kupatwa na wasiwasi na tabia ya mumewe 
muda mrefu, hivyo akaanza kumfuatilia kwa karibu, ambapo alifanikiwa 
kunasa meseji za mapenzi kati ya mumewe na Mwamvua.
 Zainab alivumilia bila kumwambia mumewe, lakini aliendelea kumfuatilia ili apate uhakika.
“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitutonya mnyetishaji wetu
“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitutonya mnyetishaji wetu
Akaongeza: “Lakini siku moja aliona picha ya 
huyo mwanamke akiwa kitandani kwenye simu ya mumewe. Alipoendelea 
kupekua zaidi, akaona video ikiwaonesha wapo kwenye mahaba. Akaihamishia
 kwenye simu yake haraka kwa njia ya Bluetooth.”
“Zainab alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza amkomeshe,” alisema paparazi wetu.

Alisema, kwa kuwatumia ‘watoto wa mjini’, Zainab alifanikiwa kuisambaza 
video hiyo kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kumuaibisha mume wake
 na mwanamke aliyekuwa naye faragha ambaye naye anadaiwa kuwa mke wa 
mtu.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,”alisema.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,”alisema.
 
No comments:
Post a Comment