Kigogo mmoja ambaye jina lake
halikupatikana mara moja, anayefanya kazi katika kampuni ya simu za
mkononi na mwanamke aliyetajwa kwa jina la Mwamvua anayedaiwa kuwa ni
mke wa mtu wamerekodi video wakifanya uchafu na ‘clip’ hiyo imevuja.
Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo
chetu makini zinasema kwamba mke wa kigogo huyo aitwaye Zainab ndiye
anayesambaza video hiyo kwenye mitandao mbambali na mitaani.
Inaelezwa
kwamba, Zainab alianza kupatwa na wasiwasi na tabia ya mumewe muda
mrefu, hivyo akaanza kumfuatilia kwa karibu, ambapo alifanikiwa kunasa
meseji za mapenzi kati ya mumewe na Mwamvua.

Zainab alivumilia bila kumwambia mumewe, lakini aliendelea kumfuatilia ili apate uhakika.
“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitutonya mnyetishaji wetu
“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitutonya mnyetishaji wetu
Akaongeza: “Lakini
siku moja aliona picha ya huyo mwanamke akiwa kitandani kwenye simu ya
mumewe. Alipoendelea kupekua zaidi, akaona video ikiwaonesha wapo
kwenye mahaba. Akaihamishia kwenye simu yake haraka kwa njia ya
Bluetooth.”
“Zainab alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza amkomeshe,” alisema paparazi wetu.

Alisema,
kwa kuwatumia ‘watoto wa mjini’, Zainab alifanikiwa kuisambaza video
hiyo kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kumuaibisha mume wake na
mwanamke aliyekuwa naye faragha ambaye naye anadaiwa kuwa mke wa mtu.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,”alisema.
-mitandao
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,”alisema.
-mitandao

No comments:
Post a Comment