adsence

Pages

Sunday, October 6, 2013

AUNT EZEKIEL ANASWA MSIKITINI AKIWA NA MAWAZO KIBAOO




             PICHA inayomuonesha mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti wa tatu kwa ukubwa nchini Dubai, Al Farooq imenaswa.
Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti.
Chanzo kilichopo Dubai kimeeleza kuwa, Aunt aliondoka nchini wiki mbili zilizopita kwenda nchini humo kumtembelea mume wake, Sunday Demonte ndipo alipoamua kwenda katika msikiti huo lakini alionekana mwenye mawazo sana.
“Nilimuona akiwa ni mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa na mara baada ya kutoka msikitini hapo, dada mmoja ambaye alikuwa naye alikuwa akimpiga picha mbalimbali nje ya

No comments:

Post a Comment