HELP:NATARAJIA KUFUNGA NDOA NA NINAHISI SINA BIKIRA KABISA ILA SIJAWAHI FANYA MAPENZI.. 
Hi... Kuna dada yetu anaomba ushauri 
wenu. Yeye ni msichana mwenye umri wa miaka 22 ana mchumba na karibuni 
wanatarajia kufunga ndoa. Wasiwasi wake ni kwamba anahisi kama yeye sio 
bikra, na yeye hajawahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume yeyote. Ila ni
 mara nyingi anakua anameet na mchumba wake wanafanya kissing, yani 
kunyonyana midomo, wanapapasana sehemu zao za siri lakini kila mmoja 
akiwa amevaa nguo zake kamili. Wanafanya hayo yote ila 
hawajawahi 
kukutana kimwili kufanya tendo la ndoa. Anauliza jee kufanya hayo yote 
yanaweza kumfanya kupoteza ubikira wake bila ya kufanya tendo lenyewe? 
Na jee ni sababu zipi zinazomfanya msichana kupoteza ubikira wake? 
Anaomba ushauri wenu. Shukrani
Udaku Specially Blog
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment