NCHI za wenzetu staa kupiga picha za
utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania
hayaruhusu kufanya hivyo.
Pamoja na sheria kutoruhusu,
wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana
kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za
panya,....
Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue...
Hali hii imewafanya wasanii wengi wa kike wawe na umaarufu wa skendo chafu....
Miongoni mwa skendo hizo ni:
1.Kupiga picha za uchiHili ni
kundi la wasanii chipukizi wanaosaka umaarufu kwa gharama
yoyote....Ni skendo ambayo huwachafua sana, lakini pia ni skendo
ambayo huwainua na kuwafanya wajulikane....
Mfano halisi wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo wa Maisha plus
Pendo Moshi
2.Kutumia madawa ya kulevyaHili
ni kundi la wasanii ambao hutumia madawa ya kulevya na kisha
hukimbilia katika vyombo vya habari na kujitangaza kwamba ni
wavuta bangi na kwamba "hivi sasa wameacha"
3.Kuvaa nusu uchiHili ni kundi
lenye wasanii wengi sana.Hawa ni wasanii wenye imani ya kuwa
mastaa kwa kuvaa nusu uchi huku mapaja na matiti yao yakiwa
wazi ...
Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote tunawajua.
4.Kutovaa chupi na kujipitisha
mbele ya kamera Hili ni kundi la wasanii wachache ambao
umaarufu wao umekwisha.Ili kujiinua tena kwa jamii, wasanii hawa
hutumia skendo nzito kama hizi ambazo huifanya jamii
istuke..!...Mfano halisi ni Nakaaya.
No comments:
Post a Comment