Waigizaji wa Movie ya First Wife wafanya Mapenzi kiukweli
Hii ni Movie mpya ya msanii maarufu wa nchini Ghana, iitwayo My Fist
Wife. Katika Movie hii mwanadada Nikki Samonas akiwa na Jim Iyeke,
wanaonekana kukolea kimahaba na msanii mwenzake hadi kufikia kiasi cha
kufanya kweli badala ya maigizo kama ilivyotakiwa. Kwa sasa wengi
miongoni mwa mashabiki wake wamechukizwa na kitendo chake hicho, na hii
imemletea
picha na sifa mbaya katika Tasnia ya Uigizaji na jamii kwa
ujumla.
No comments:
Post a Comment