AANIKA MAKALIO YAKE MBELE YA MBUNGE AIBU
Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi
kipya ambaye alivaa vazi lililoacha matako nje.... Shabiki huyo
alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati
alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora. Tukio
hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge.... Mbunge wa Jimbo la
Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa
ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo
lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora. Ommy Dimpoz
akitokwa na machozi wakati akitumbuiza jukwaani
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
No comments:
Post a Comment