Wale
wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji
la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa
hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya
Leaders Club ndio patachimbika.
Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay,
Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.
source-Djchoka
No comments:
Post a Comment