Rapper Izzo Bizness asubuhi ya leo ametoa taarifa kuwa internet cafe
yake iliyopo Mbeya eneo la chuo cha TEKU imevunjwa na wezi na computer
sita zimeibiwa. Ameomba raia wa Mbeya kutoa taarifa wanaposikia mtu
anauza computer pasipo njia halali. Soma Hapa Alichoandika Izzo B.
#PoleBro
No comments:
Post a Comment