NILIPOONA AKAEENDA KWA JAMAA MWINGINE KULIWA URODA NILIAMUA NIFANYE HIVI "BERRY WHITE"
 Artist
 anayewakilisha Zenji ktk game ya bongo flava Berry white inasemekana 
amelichoma Moto gari la mpenzi wake na Gari Hilo likateketea kama 
unavyoona hapo, kwa mujibu wa cha chanzo chetu cha habari kinadai kuwa 
chanzo cha tukio Hilo nibaada
 ya Berry kushtukia dem wake ameenda kufanya mambo ya chumbanI na 
mwanaume mwingine, ndo huku Nyuma jamaa akaamua kupiga kiberiti Gari, 
bado tunaendelea kumtafuta berry white ili na yeye atoe ya moyoni....Hii ndo ndinga iliyopigwa Moto na Msanii Berry White, nia aina ya Spacio na mwanzo lilikua lina rangi Nyekundu

 TOA MAONI YAKO HAPA CHINI 
 
No comments:
Post a Comment