 
Naitwa Manka Naishi Mikocheni , mimi ni Msichana na Miaka 20 nimekuwa nikijitunza kwa muda mrefu ili kutunza Bikira yangu kwa mwanaume atakaye nioa mungu akijalia ...so sijawahi fanya mapenzi na mtu yoyote japo napata vishawishi vingi....Saa zingine nikisikia hamu huwa najisugua kwa vidole sehemu zangu ili kutoa hamu....
Sasa
 hivi karibuni nimehisi huku chini hapako tight kama zamani hata 
nikiingiza kidole kinaingia bila shida sasa naogopa, je Bikira yangu 
imeshatoka au ni kawaida? na je kujishika kwa vidole sehemu hizo 
kunaondoa bikira? 
Please naombeni ushauri...
 
 
No comments:
Post a Comment