Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha chafu inayoonesha sehemu kubwa ya nyeti zake.
Kunaswa kwa picha hiyo, kumevunja, heshima
ya staa huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya
mastaa wa kike wanaotamba katika tasnia ya fi lamu hapa Bongo.
Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na mwandishi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote
Credit: GPL
No comments:
Post a Comment