SAMAHANI KWA PICHA HIZI.....VIDEO INAYOONYESHA WATU 7WALIOFARIKI DUNIA NA WENGINE 18 WALIOJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA HUKO TANGA TANGA...!!! ONYO! VIDEO INATISHA
Watu
saba wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa vibaya baada ya magari
mawili ya abiria yanayofanya safari zake kutoka jijini Tanga kwenda
wilayani Korogwe kugongana uso kwa uso.
VIDEO YA TUKIO HII HAPA CHINI
-ITV
No comments:
Post a Comment