adsence

Pages

Wednesday, November 20, 2013

TATOO YA UWOYA ALIYOCHORA MWILINI MWAKE KARIBU NA SEHEMU YA HAJA KUBWA YAZUA GUMZO ..ANGALIA PICHA

uwoyacover  
Muigizaji wa kike ambaye ametajwa kuwa ndiyo maarufu sana nchini Congo kuliko msanii yoyote wa bongomovie na anajulikana zaidi kwa jina la Oprah zaidi ya jina lake la Irene Uwoya.
Headline mpya kutoka kwake ni kuhusu picha alizo-post zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwai kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni nyayo za mwanae Krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani.
Hii hapa ndiyo mpya kwa mashabiki wake ambayo ameiweka wazi leo.
uwoya uwoya2

No comments:

Post a Comment