TAZAMA PICHA 10 ZA ZA WATUHUMIWA WA KUMUUA DR. SENGONDO MVUNGI KWA KUMCHARANGA MAPANGA..!!
Majambazi
kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama
ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.
Kesi
imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa
kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi
ya mauaji hivyo wanarudishwa Segerea mpaka tarehe tano December kwa
ajili ya kesi kutajwa.
Hapa chini kuna majina yao, umri, wanakoishi pamoja na taarifa zao nyingine.
No comments:
Post a Comment