Hii ni Moja ya kihoja ambacho kiliwaacha midomo wazi watu wengi, ni baada ya Mike Tyson Kurudisha sikio alilomnyofoa mwenzake  
Evander Holyfield... Sasa hivi ndivyo ilivyo kuwa...
Evander Holyfield... Sasa hivi ndivyo ilivyo kuwa...
Hapa
 Mchezaji wa ngumi Mkongwe akiwa anabisha hodi na kuingia nyumbani kwa 
Evander Holyfield kumkabidhi sikio lake huku akiwa na sura ya wasiwasi 
akiogopa anaweza pigwa sumbwi 
Evander Holyfield akimpokea Mike Tyson huku akiwa na maneno mengi anayo yawaza asijue Tyson alimletea nini... 
Evander
 Holyfield anamkaribisha hapa Mike Tyson anaomba msamaha kwa mpinzani 
wake ,, anamwambia hivi" Ebwana nisamehe sana mtu wangu hili sikio lako 
mimi nimelihifadhi kwa miaka yote hii 16, sasa nimekuletea"
"Oh
 my Goodness yaani kweli hii safi sana nililimisi sana sikio langu kwa 
Muda wa miaka yote 16, Asante sana" alisema Evander Holyfield  
Anatabasamu 
Hivi ndivyo Evander Holyfield alivyo katwa sikio
Picha na Daily mail... maelezo na This day Magazine
 
 
No comments:
Post a Comment