August 2013 ndio Snura 
aliishusha single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo ikiwa ni 
miongoni mwa single zinazopata airtime bila kuwa na video lakini leo 
November 22 2013 kaishusha video on AyoTV… itazame hapa chini na uache 
maoni yako mtu wangu, atapita hapa baada ya saa 6.
Snura alisema kwenye video ya ‘majanga’ hakuweza kucheza kama 
inavyotakiwa lakini huku kwenye ‘nimevurugwa’ ndio kajiachia.
 
 
No comments:
Post a Comment