Khalid
 Mohamed aka TID (Top in Dar) ametangaza kufanya collabo na msanii 
mrembo wa Ethiopia aitwaye Azeb Wendwosen.“She is called Azeb an 
Ethiopian Artist who is duin a single with me currently…” TID mnyama 
ameandika kupitia Instagram na kuweka picha ya msanii huyo mrembo 
kwelikweli.
Baada
 ya kumtafuta kwa simu kuzungumiza swala hilo big boss huyo wa Top Band 
amesema atatoa taarifa kamili juu ya collabo hiyo soon.
Tazama picha na video za mrembo huyo kutoka Addis Ababa, Ethiopia
 
No comments:
Post a Comment