Kile
 kilichomkuta msanii diamond hapa tz baada ya ngoma yake ku-leak kwenye 
media bila ya permission yake yeye mwenyewe,kitu hicho hicho 
kimemtokeamsanii 
wa “haba haba” kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama Stela Mwangi aka STL.
Bila
 ya idhini yake msanii huyo anayehiti  hapa east Africa na dunia kwa 
nyimbo kali kama “haba haba” ,yalimkuta pale ngoma yake iliyo-leak 
katika media ijulikanayo kama”Kudinyana” ngoma yenye mashairi makali na 
yasiyofaa kwa maadili  jamii especially jamii ya ki-africa,nakufanya 
fans wake wamjie juu kwa kutopenda alichoimba katika track hiyo.
Baada
 ya kushtukia tukio hilo “haba haba”singer huyo aliamua ku-apologise kwa
 fans wake kupitia mtandao wakijamii wa tweeter na kusema kwamba hikuwa 
lengo lake kwa nyimbo hiyo kuwa release kwa public na pia hakumaanisha 
kile alichokiimba kwenye track hiyo,hata hivyo baadhi ya mashabiki they 
don’t buy the apologise na kufanya aweze kupoteza image yake iliyojengwa
 kwa baadhi yamashabiki wake ingawa some fans waliamini nakumsamehe.
 
 
No comments:
Post a Comment