BAADA YA BONGO MOVIE KUMSUSIA WEMA SEPETU MSIBA, NORA NAYE AOMBA RADHI BONGO MOVIE ILI WASIMSUSIE PINDI MATATIZO YATAPOMKUMBA..!!
Msanii Nora wa Bongo Movies amewaomba 
radhi wasanii wenzake pamoja na wengine kwa kutokushiriki kwenye 
matatizo mbali mbali kama vile misiba na mengine..
Msanii huyo alizungumza na Gazeti moja 
la udaku na Kusema hali hiyo imemtokea mara kwa mara kwa kuwa huwa yuko 
bize sana kiasi anashindwa kushiriki katika shughuli hizo ..hii inakuja 
baada ya Wasanii wa Bongo movies Kumsusia Wema Sepetu katika Msiba wa 
Baba yake ..
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment