BABY MADAHA CHUPUCHUPU KUBAKWA NA MACHOKORAA MJINI MOMBASA...SOMA ILIVYOKUWA HAPA  
STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ 
amenusurika kubakwa na vijana wa kihuni nchini Kenya maarufu kama 
machokoraa.
 Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’.
Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’. 
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni pande za Mombasa nchini Kenya 
wakati nyota huyo alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake uitwao The Gal
 Bladder ambapo vijana hao walikatisha shughuli nzima na kuanza 
kumkimbiza Baby Madaha.
“Daah! Ilikuwa noma, ilikuwa usiku sasa wakati meneja wangu 
akinielekeza matakwa ya video hiyo ambayo yalihitaji vijana wa mtaani, 
ghafla wakatokea vijana wenyewe wa mtaani na kutaka kunibaka. Bahati 
nzuri nilifanikiwa kutimua mbio na kuwazidi,” alisema Baby.
gPL
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment