HUU NDIO MJENGO WA MWANADADA SHILOLE
Wakati
ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo
Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao
kwenye biashara ya madini.Shilole
amepost Instagram picha ya nyumba yake iliyopo kwenye
hatua ya mwisho
kukamilika na kuandika: Mungu nisaidie nimalizie hii kitu ili watoto
wangu wasije kupata tabu.”
Naye Fid Q amepost picha inayoonesha madini ya ruby na kuandika: #RubySozite #NewHustle roll a phat 1 fi ya Nig..!!!
No comments:
Post a Comment