adsence

Pages

Sunday, December 1, 2013

Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID


Khaleed Mohamed 'TID' na Mariam Nnauye
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay  baada ya kukamatwa na polisi

kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake,  Mariam Nnauye

No comments:

Post a Comment