Dunia
ina mengi....Dawa ya tatizo ni kukubaliana nalo. Huyu ni jamaa
mwenye jinsia mbili na kwa mujibu wa maelezo yake anadai
kuwa jinsia zote mbili ziko poa (Active).. Kinachofurahisha
zaidi ni kwamba jamaa kakubaliana na tatizo...Haoni kama ni
shida na anaisha maisha ya kawaida kabisa... Cha kufurahisha
zaidi ni kwamba, jamaa katangaza kusaka mchumba ...
No comments:
Post a Comment