KUMBEEE...!SHAA AFUNGUKA KUHUSU "KUTOKA" NA MASTER JAY....!SOMA ZAIDI HAPA..... 
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari 
ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili 
(master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu 
wawili huwa inahusu wao wenyewe wawili ila sio mtu watatu. 
Na kwakuwa 
mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na 
mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa... 
Na maumivu 
yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini 
niachie bahati yangu, Nampenda sana Master
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment