Ho Zhiliang, 24, raia wa China
amezaliwa huku moyo wake ukiwa unaota maeneo ya tumboni kama unavyo ona
kwenye picha. Kijana huyu ana subiri upasuaji ili kuweza kurekebisha
kiungo hicho na kukirudisha mahali kinapotakiwa kuwa.
Kweli Mungu ni wa ajabu sana maana
inasemekana watoto wengi wanao zaliwa na tatizo hili hufa siku chache
baada ya kuzaliwa lakini imekuwa tofauti kwa huyu kijana ambaye ni
kinyozi na ameamua kuishi maisha yake na hali hiyo hadi pale alipo soma
kwenye gazeti moja kwamba hali hiyo inaweza rekebishwa kwa opareshi
ambayo ndo anasubiria.
Hii si kesi ya kwanza kutokea huko China.
-Jestina~George
No comments:
Post a Comment