MIZENGO PINDA:MSHAHARA WANGU KAMA WAZIRI HAUZIDI SH MILION 6
Waziri Mkuu amedai bungeni muda huu 
kwamba mshahara wake hauzidi Tsh. 6mil na akadai wanaodai analipwa zaidi
 ya hapo ni uzushi mkubwa kiasi kwamba yeye ni mkopaji tu katika mabenki
 na kuwa mshahara huo ni pamoja na mapato ya mkewe. 
Source: Leo Bungeni -TBC
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment