Msanii wa Nigeria aitwaye Maheeda anafahamika kwa tabia yake ya 
kupost picha za nusu utupu kwenye mitandao ya kijamii. Katika 
kusherehekea sikukuu ya Christmas, mrembo huyo ameamua kutoka kitofauti 
kwa kufanya kile akipendacho akiwa na mavazi yenye alama za sikukuu hiyo
 kubwa ya mwaka. 
 
No comments:
Post a Comment