Van Diesel ambaye Irene alifikiri ni Paul Walker |
Let me a shame the devil, mara nyingi wanapokufa mastaa wa nje jamani ktk mitandao ya jamii tunakufa mbavu, sasa watu ndio kujifanya wanamjua sana watasononeka kiasi kwamba utafikiri ni ndugu wa damu,.
sasa afe star wa kwetu mmmmh hauoni hilo vumbi kama la nje jamani tujaribu kupenda na kuthamini vya kwetu vikiwa hai na vikitutoka sio kujishauwasti tujuwesti na wewesti unamjuasti paul walkerst kumbest nop
poor Irene amaejikuta akizodolewa, kwa kuchapia sasa sijui alitaka aonekane anawajua Hollywood celebrities very well akajikuta anakosea baada ya kuweka pic ya Van Diesel na si ya Paul Walker aliefariki na kusisitiza bwana ametoa na bwana ametwaa..
calm down, don't try so hard to fit in the cycle...... kama ni no ni NO tu...
I do the seeking n you do the judging
No comments:
Post a Comment