Leo katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na picha hiyo hapo chini 
kutoka kwa msanii Young Killer mwenyewe anapenda kujiita Handsome Boy 
asiye na matunzo. Maelezo katika picha hiyo yalisema ''ASANTE.......MZIK mungu barik kazi ya mikono yangu'' na
 katika picha hiyo alikua kakaa juu ya gari aina ya Toyota IST. 
Nikajiuliza je ni kweli Young kanunua gari au alikua akimaanisha 
vingine. Kama ni kweli gari ile ni yake basi huuni mwanza mzuri kwake na
 ni kithibitisho tosha kua mziki wa bongo unalipa. Team Bongoclan 
inafanya jitihada za kumtafuta ili atujuze zaidi. Mungu ambariki sana 
Young Killer

 

 
No comments:
Post a Comment