WASTARA "MTAMUONA MPENZI WANGU SOON KULIKO KUENEZA HABARI ZA UONGO"
Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti 
moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa 
kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia 
Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki.."Nachukia 
Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu 
nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu 
mapenzi ..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment