WEMA AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE NA DIAMOND NA VILE WATU WANAONGEA...!SOMA ZAIDI HAPA..! 
Je
 wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na 
Diamond Platnumz wanashindana kwa namna yoyote? Star wa kipindi cha ‘In 
My Shoes’ Wema Sepetu ameshare ujumbe kwa wote wanaofikiria hivyo. 
Kupitia
 Instagram ameandika kuwa kitu pekee kinachosababisha watu wahisi hivyo 
ni kutokana na wote wawili kuwa na mafanikio katika fani zao (muziki na 
movie), na kuongeza kuwa hawezi kushindana na Diamond sababu yeye sio 
muimbaji.
Source: Bongo 5  
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment