MWAKA
2013, Tunaumaliza katika kiwanda
hiki cha burudani yapo mengi ambayo
nisipoyasema nitakuwa kama naendelea kuweka sumu katika moyo wangu na pia
kushindwa kuwasaidia wale ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa wakiamni
kuwa mafanikio ni dharau nakushindwa kutoa ushirikiano wa dhati pale
unapohitajika kutokana na kazi wanazofanya
.
kwa
moyo wa dhati kabisa nina kila sababu ya kuwashukuru na kuwaelezea
WASANII WAFUATAO AMBAO WAMEKUWA NI MFANO WA KUIGWA TANZANIA KWA NAMNA
MOJA AMA NYINGINE NA MUNGU AZIDI KUWABARIKI KATIKA KILA
WANACHOKIFANYA .
NI KATI YA WASANII AMBAO NAWEZA
KUWAWEKA KATIKA KUNDI LA WACHACHE WENYE KUJUA UMUHIMU WA MASHABIKI, UMUHIMU WA
WADAU NA PIA UMUHIMU WA RADIO ZA MIKOANI.
1:DARASA:
Jamaa
kwa
upande wa kazi amekuwa akifanya vizuri sana , kiasi cha kuwa tishio kwa
wale ambao walikuwa wanaaminikia katika upande wa hip hop hapa nchini .
sijui ni nidhamu ya kazi au
vipi lakini mafanikio yake yanaonekana kwa namna moja ama nyingine
tangua ameanza kufahamika na ngoma yake ya SIKATI TAMAA hadi hii leo
katika ngoma ya WEKA NGOMA aliyofanya na Ditto . Darasa ni msanii ambaye
anajua
umuhimu wa media , na