MWAKA
2013, Tunaumaliza katika kiwanda
hiki cha burudani yapo mengi ambayo
nisipoyasema nitakuwa kama naendelea kuweka sumu katika moyo wangu na pia
kushindwa kuwasaidia wale ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa wakiamni
kuwa mafanikio ni dharau nakushindwa kutoa ushirikiano wa dhati pale
unapohitajika kutokana na kazi wanazofanya
.
kwa
moyo wa dhati kabisa nina kila sababu ya kuwashukuru na kuwaelezea
WASANII WAFUATAO AMBAO WAMEKUWA NI MFANO WA KUIGWA TANZANIA KWA NAMNA
MOJA AMA NYINGINE NA MUNGU AZIDI KUWABARIKI KATIKA KILA
WANACHOKIFANYA .
NI KATI YA WASANII AMBAO NAWEZA
KUWAWEKA KATIKA KUNDI LA WACHACHE WENYE KUJUA UMUHIMU WA MASHABIKI, UMUHIMU WA
WADAU NA PIA UMUHIMU WA RADIO ZA MIKOANI.
1:DARASA:
Jamaa
kwa
upande wa kazi amekuwa akifanya vizuri sana , kiasi cha kuwa tishio kwa
wale ambao walikuwa wanaaminikia katika upande wa hip hop hapa nchini .
sijui ni nidhamu ya kazi au
vipi lakini mafanikio yake yanaonekana kwa namna moja ama nyingine
tangua ameanza kufahamika na ngoma yake ya SIKATI TAMAA hadi hii leo
katika ngoma ya WEKA NGOMA aliyofanya na Ditto . Darasa ni msanii ambaye
anajua
umuhimu wa media , na nidhamu ya kazi anayo. ni msanii ambaye yupo
tayari
kwa interview wakati wowote, muda
wowote , mahali popote na anatoa ushirikiano wa kutosha , nakiri,
sijawahi msikia mtangazaji yoyote
akicomplain juu ya huyu jamaa ,et
ametafutwa katika interview akajibu mbovu, akaacha kupokea simu au vipi
, hapana
aseee, na ni kati ya wasanii wanaofunguka katika interviews hadi
mtangazaji unapata hamu ya
kuendelea kumuhoji
msanii mwingine huyu,
ambaye muda wowote yupo tayari
kuzungumza chochote ambacho utahisi unataka ufafanuzi kutoka kwake , au kujua
lolote juu ya kazi zake, naweza sema ni aina ya msanii ambaye yupo tayari kwa
wakti wowote kuongea na media.
3:Zaiid Mnete (tamaduni muziki)
sijui
nisemeje
juu ya huyu jamaa lakini waliofanya nae interview zaidi mnete wanaweza
kumzungumzia vizuri zaidi , maana ni aina ya msanii ambaye katika swala
zima la utayari yupo tayari, na nafunguka zaidi ya maelezo , ni mfano
wa p the
mc, darasa na wengine asee, hata umpigie simu yupo kwenye gari au kalala
Zaidi
mnete lazima atapokea. hongera sana .
4: Azma Mponda (tamaduni muziki)
naye
siwezi acha kumzungumzia jamaa, amekuwa
na nidhamu sana ya kazi , nidhamu za media na kujali vile vile. mpigie muda
wowote, popote akishajua lengo na makusudi ya simu yako atakupa
ushirikiano wa kutosha .
5:LAWIZE INTERTAINER :
Huyu
ni
kati ya wasanii ambao sitaacha kuwazungumzia kabisaa, ni msanii ambaye
anapigana kuhakikisha anafahamika na kazi zake zinafahamika , msanii
ambaye
anajali , anajituma ,ana nidhamu ya kazi na anajali na kuheshimu radio
ndogo na kubwa . Lawize ni msanii ambaye sijui nitumie lugha gani
lakini wengi ni mashahidi juu ya hili, hakuna mtangazaji hata mmoja wa
radio
ambaye hajawahi kumzingumzia vizuri
lawize labda awe hamjui .
6: NEY WA MITEGO:
Salute kubwa
kwake , mpigie muda wowote, wakati wowote hata kama ana drive Ney atapokea simu
ataweka pembeni gari mtapiga interview, kiukweli kutoka moyoni anajali vibaya
mno jamaa, na ndo maana anazidi kujiongezea
mashabiki wengi .
7:NEIBA
duh! huyu naye ni kati ya wasanii hao hapo juu, hakuna siku
utampigia simu utake interview Neiba akwambie hana nafasi au hana muda , anajitoa zaidi ya maelezo ,
majivuno , majidai ya kutokuhojiwa , asee jamaa hana kabisaaaaaaaaaaaa amini hilo.
8: DYNA NYANGE
yes, anajua umuhimu wa kuzungumza na mashabiki wake ,
kiufupi anajali na kuthamini interview , ukimtafuta hupati usumbufu kabisaaaa
wa kumuhoji, tofauti na wengine, mara siwezi, mara tutafanya wakti mwngine,
mara sina mudi, , lakini Dyna hayupo
hivyo.
9: RIYAMA
NI msanii ambaye ananivutia sana binafsi katika filamu za kibongo
acha niseme ukweli, ni msanii ambaye ana nidhamu ya hali ya juu , anajali,
na thamini, na ana adamu yiliyopitiliza. pigie simu popote , kokote ,
weka nae ahadi ya kufanya interview, suhirikiano atakaokupa , mwenyewe
utashangaa. kiukweli yupo vizuri sana tofauti na wengine .
10:ABRA MBILIMBILI:
huyu anaingia tena katika list yangu ya wasanii ambao ni wepesi wa
kufanyiwa interview katika media na
wepesi wa kutoa ushirikiano wa kutosha . jamaa kwa chochote ambacho utamuuliza
,iwe scandal iliyosukwa au ya kawaida ,
atakupa ushirikiano wa hali ya juu.
11: STOPPER RYMECCA:
na yeye stoper siwezi muelezea zaidi lakini jua ni kati ya
wasanii wenye sifa ambazo nimezitaja kwa wengine wote hapo juu . huwa anatoa
ushirikiano sana katika interview ,
muda wowote na kwa chochote. big up sana kaka
,nakukubali mpaka pumzi ya
mwisho.
12: NIKKI WA PILI
siwezi muelezea zaidi lakini jua ni kati ya wasanii wenye
sifa ambazo nimezitaja kwa wengine wote hapo juu . huwa anatoa ushirikiano
sana katika interview , muda wowote na
kwa chochote. big up sana kaka
,nakukubali mpaka pumzi ya
mwisho
13:ROMA MKATOLIKI
hakuna ambacho utamuuliza Roma aache kukupa ushirikiano kwakweli, katika interviews
ambazo nimepiga naye juu ya kazi na
harakati zake ushirikiano kwangu toka kwake ulikuw amkubwa sana , siwezi muelezea zaidi lakini jua ni kati
ya wasanii wenye sifa ambazo nimezitaja kwa wengine wote hapo juu . huwa anatoa
ushirikiano sana katika interview ,
muda wowote na kwa chochote. big up sana kaka
,nakukubali mpaka pumzi ya
mwisho.
14: K WA MAPACHA
hili ni jembe lingine
tena , yaani ni zaidi ya sana , K wa mapacha ndo aina ya wasanii wote waliopo hapo juu
15:MRISHO MPOTO
kama unavyomuona ndivyo alivyo, si mtu wa
maringo , si mtu wa majidai , popote yeye atakupa ushirikiano tu wa
hali ya juu ya
16:JOH MAKINI
kifupi hana dharau , we jua hilo tu
17:LINEX
linex nikianza kumzungumzia siwezi maliza leo, lakini waliopo katika media na waliowahi
kufanya naye interview wanaweza wakanisaidia kusema juu yake , ni aina ya
msanii ambaye hana mizinguo katika
interview , maringo o s majibu ya ajabu ajabu kama wengine , tena huyu wakati
mwingine anatafuta watangazaji kwaajili ya kutaka kuongea na mashabiki wake
waliommisi labda kwa kipindi Fulani.
18:JCB
ni
real nigger , ni real hip hop ,
namkubali hadi mwisho. Amekuwa wepesi kufunguka sana juu ya interviews
mbalimbali katika radio , iwe mchana au usiku, nakumbuka wakati anasafiri
kwenda ufaransa , jamaa yupo airpot kabla ya kuondoka nilimuomba sana dakika hata mbili tu ya kuzungumza nae juu ya
safari yake, lakini hakusita wala
kuzingua na badala yake laifunguka hadi mwisho, kitu amvachjo mwingine au
wengine wasingeweza au wasingekubali. KAKA NAKUHESHIMU SANA .
19:GNAKO
Dah!
Nakosa mameno kabisa ya kuzungumza juu
ya Gnako , ila ni zaidi ya kujali na kuthamini, jamaa akishagundua ni simu ya
interview au uwe umempa taarifa juu ya
interview kwakweli we tegemea mengi kutoka kwa jamaa.
20:KALA JEREMIAH .
kichwa
kingine katika interview, kala jeremiah anafanikiwa kwasababu ya nidhamu katika
kazi ,kujali mashabiki, kujali media
ndogo na kuzipa ushirikiano . ni mwepesi sana wa interview na ana utayari kwa hilo kwa muda wowote .
ORODHA HII YA WASANII 20 WALIOPO HAPA , NI KWAMUJIBU WA INTERVIEWS AMBAZO WAMEKUWA WAKIZIFANYA , NA NAMNA
AMBAVYO WAMEKUWA WAKIJALI NA KUTHAMINI NA KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA , NI
WASANII WANAOJALI NA KUONA UMUHIMU
WA MEDIA KWAO NA KATIKA KAZI WANAZOFANYA ZA KIBURUDANI, MATAMASHA NA MENGINEYO.
HICHO NDICHO KINACHOWATOFAUTISHA
WASANII HAO HAPO JUU NA WENGINE AMBAO
HAWAPO KATIKA ORODHA HII.
WASAA WALIOACHWA HAIMAANISHI HAWANA UTAYARI WA KUFANYA INTERVIEWS
KATIKA MEDIA AU KUONGEA NA MASHABIKI
WAO HAPANA , ILA YAWEZA KUWA UPATIKANAJI WAO
UMEKUWA NI WASHIDA SANA
UKIAMBATANA NA MAJIDAI
MENGI PAMOJA NA KUTOJALI.
Casinos In The UK - JTGHub
ReplyDeleteThis year we're 여주 출장안마 going to reveal the best UK 밀양 출장마사지 casinos in 2021. 전라북도 출장샵 Check out what's coming this December 군포 출장샵 and start playing 양산 출장안마 games. Start winning today!