Wasanii Manaiki Sanga na Irene Uwoya wakiwa kwenye picha za mahaba huku Uwoya akigida pombe hadi kuche.
 Mtandao hatari wa habari wa -XDJAYZ 
kwa mara nyingine umekuwa wa kwanza kunasa picha za wasanii mastaa toka 
kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga na Irine Uwoya zikiwaonesha wakiwa
 kwenye mahaba mazito huku Irine akiwa ho kwa kiraji “pombe”. 

Hata
 hivyo chanzo hicho kiliendelea kusema kwa picha hizo zinadaiwa kupigwa 
katika viunga vya Club Maisha ambako walienda kula bata usiku kucha na 
hapo inaonekana ni asubuhi.
Aidha-XDJAYZ ilifanya juhudi za kuwatafuta wasanii hao ili kuweka bayana 
kuhusu picha zao hizo za mahaba na Uwoya ndiye aliyeanza kuvutiwa waya 
lakini hata hivyo simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na 
alivyopigiwa Manaiki Sanga na baada ya mwandishi wetu kujitambulisha na 
chombo cha habari anachotoka hali ilikuwa tofauti kidogo kwani msanii 
huyo alianza kumporomoshea matusi makubwa mwandishi wetu huku akiituhumu
 blog hii kuongoza kumchafua kwa kuanika mambo yake ya siri hadharani.
 Mtandao
 hatari wa habari wa Xdeejayz kwa mara nyingine umekuwa wa kwanza kunasa
 picha za wasanii mastaa toka kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga na 
Irine Uwoya zikiwaonesha wakiwa kwenye mahaba mazito huku Irine akiwa ho
 kwa kiraji “pombe”.
Habari
 makini toka chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu na Irine 
Uwoya kilisema Irine na Manaiki kwa sasa wako kwenye mahusiano ya karibu
 kiasi cha kuzua minong’ono kwa kudhani huenda wanamahusiano ya upande 
wa pili.
Hata
 hivyo chanzo hicho kiliendelea kusema kwa picha hizo zinadaiwa kupigwa 
katika viunga vya Club Maisha ambako walienda kula bata usiku kucha na 
hapo inaonekana ni asubuhi.
Aidha -XDJAYZ ilifanya juhudi za kuwatafuta wasanii hao ili kuweka bayana 
kuhusu picha zao hizo za mahaba na Uwoya ndiye aliyeanza kuvutiwa waya 
lakini hata hivyo simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na 
alivyopigiwa Manaiki Sanga na baada ya mwandishi wetu kujitambulisha na 
chombo cha habari anachotoka hali ilikuwa tofauti kidogo kwani msanii 
huyo alianza kumporomoshea matusi makubwa mwandishi wetu huku akiituhumu
 blog hii kuongoza kumchafua kwa kuanika mambo yake ya siri hadharani.
 
No comments:
Post a Comment