adsence

Pages

Friday, September 27, 2013

KWELI PENNY ANA KATI..KWA HILI POZI LA DIAMOND NA HUYU DADA LAZIMA KUNA KITU

Jana Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha kibao ..zao zikijadiliwa ...




Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...

Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?

No comments:

Post a Comment