.
NCHI za 
wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.
Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,....
Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue...
Hali hii imewafanya wasanii wengi wa kike wawe na umaarufu wa skendo chafu....

1.Kupiga  picha  za  uchi
Hili 
 ni  kundi  la  wasanii  chipukizi  wanaosaka  umaarufu  kwa  gharama  
yoyote....Ni  skendo  ambayo  huwachafua  sana, lakini  pia  ni  skendo 
 ambayo  huwainua  na  kuwafanya  wajulikane....Mfano halisi wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo wa Maisha plus
2.Kutumia  madawa  ya  kulevya
Hili 
 ni  kundi  la  wasanii  ambao  hutumia  madawa ya  kulevya   na  kisha 
 hukimbilia  katika  vyombo  vya  habari  na  kujitangaza  kwamba  ni  
wavuta  bangi  na  kwamba  "hivi  sasa  wameacha"
3.Kuvaa  nusu  uchi
Hili 
 ni  kundi  lenye  wasanii  wengi  sana.Hawa  ni  wasanii  wenye  
imani    ya  kuwa  mastaa  kwa  kuvaa  nusu  uchi  huku  mapaja  na  
matiti  yao  yakiwa  wazi ...Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote tunawajua.
4.Kutovaa  chupi  na  kujipitisha  mbele  ya  kamera
Hili 
 ni  kundi  la  wasanii  wachache  ambao  umaarufu  wao  umekwisha.Ili  
kujiinua  tena  kwa  jamii, wasanii  hawa  hutumia  skendo  nzito  kama 
 hizi  ambazo    huifanya  jamii  istuke..!...Mfano  halisi  ni  Nakaaya
 
No comments:
Post a Comment