| 
                    
                    Filamu ya msanii Manaiki Sanga 
ujulikanayo kwa jina la NGEMA imeingia kwenye mgogoro mzito kwa 
makampuni ya usambazaji ya filamu hiyo kwa huku kila kampuni inahitaji 
kibari cha kusambaza kwa kupanda dau. 
Habari
 za uhakika zilizoshuka mezani kwa papa toka kwa muandaaji wa filamu 
aliyejitambulisha kwa paparazi jina la Pete kuwa filamu ya Manaiki Sanga
 aliyoipa jina la Ngema imekuwa gumnzo kubwa nchini Tanzania na huenda 
ikavunja rekodi kubwa na kuwa filamu bora ikayouza nakala nyingi zaidi 
kuliko filamu nyingine yeyote.  
Kampuni
 zilizoingia kwenye patashika hiyo huku kila kampuni ikihitaji kusambaza
 filamu hiyo ni Steps, Splash, Pilipili, Leo Media. 
Maelfu
 ya watanzania wanaisubiri filamu hiyo ili kuona kitu gani alichokifanya
 Manaiki ambae amejizolea umaarufu mkubwa kwa kupiga picha za uchi na 
wanawake zaidi ya 400 kisha picha hizo kusambaa mitandaoni | 
Friday, October 11, 2013
VIDEO!!! TAZAMA FILAMU YA PORN STAR MANAIKI SANGA INAYOGOMBANIWA KAMA NJUGU NA MAKAMPUNI!..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 
No comments:
Post a Comment