Mama mmoja toka 
Colorado nchini Marekani alipokea simu ya ajabu usiku mmoja wa manane 
kutoka kwenye namba 1-666-666-666 na ndani ya masaa machache alipokea 
meseji nyingi sana kutoka namba tofuti tofauti na zote zikiwa zimeandika
 ‘Satan’ kwa maana ya 'Shetani'.
Mwanamke huyo, 
Jenn Vest kipindi kipindi anatumiwa meseji hizo alikuwa anasinzia wakati
 akiwa bado anaendelea kumnyonyesha mtoto wake na ndipo aliposikia simu 
inaita ikipigwa kutoka namba 1-666-666-666.
 

 
No comments:
Post a Comment