TAZAMA Picha ya jinsi kivuko cha Dar – Bagamoyo kitakavyokua....
Nakumbuka
Waziri wa ujenzi John Magufuli aliwahi kusema moja kati ya mbinu kubwa
za kurahisisha miundombinu na kupunguza foleni kwenye jiji linaloongoza
kwa kuwa na magari mengi Tanzania (Dar es salaam) ni kuanzisha kivuko
ambacho kitakua na safar kati ya Dar na Bagamoyo.
Ni miongoni mwa mipango ambayo itatekelezwa ili kupunguza foleni
lakini pia kurahisisha usafiri pamoja na kupunguza idadi ya ajali za
barabarani ambazo zimekua zikitokea kutokana na uzembe wa Wamiliki na
Madereva wa mabasi ya abiria.
-MILLARD AYO
No comments:
Post a Comment