adsence

Pages

Saturday, November 23, 2013

BREAKING NEWSSSSSS .... PROF. BAREGU NAYE PIA AJIUZULU CHADEMA....MAJANGA HAYA CHADEMA!!!!



 Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ametoa kauli ya kujiondoa na kujiuzulu nafasi zake ndani ya Chama hicho kupelekea maamuzi yaliyofanywa na kikao cha kamati kuu ya chama hicho
Huyu ni Mjumbe wa pili wa kamati kuu ya Chadema kuamua kujiuzulu wadhifa wake katika kipindi kisichozidi masaa 12

No comments:

Post a Comment