Davido amesherekea miaka 21 ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa kituo cha watoto yatima kinaitwa Heritage Homes huko kwao Nigeria.
Mkali huyu wa Fiesta hakusherekea birthday yake kwa kujiachia kwenye clubs tu bali Davido alipeleka vyakula vingi kwenye kituo hicho.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa anakabidhi hiyo misaada
No comments:
Post a Comment