MZEE
 mmoja kigogo wa biashara ya kuuza mbao jijini Dar es Salaam, hivi 
karibuni alinaswa kitandani ndani ya chumba akiwa na mrembo aliyedaiwa 
ni mwanafunzi wa shule moja ya msingi Tegeta Wazo, Dar.Mfanyabiashara
 huyo aliyetajwa kwa jina moja la Kyando, anasemekana amekuwa na ukaribu
 na denti huyo anayeitwa Fatty kwa siku nyingi, kitu ambacho kiliwapa 
maswali baadhi ya majirani wa nyumbani kwa msichana huyo.

Katika harakati za kuchunguza ukaribu wa msichana huyo na mtu mzima huyo, mama mdogo wa binti aligundua kuwa wawili hao wana ukaribu usiofaa.
Ikaelezwa kuwa, mama mdogo wa mwanafunzi huyo aliponyetishiwa ishu hiyo, aliandaa mtego unaofyatuka kwa kasi kuliko ule wa panya ili kumtia mikononi mzee huyo mpenda kukaa na watoto wa wenzake.
“Mtego mkali uliandaliwa, siku ya siku, ma mdogo huyo alijifanya anakwenda mbali na nyumbani, binti akaona dakika tisini za mchezo lazima aibuke kidedea wa mahaba, alimwita mwanaume huyo na kumkaribisha chumbani, kumbe arobaini zao zilikuwa zimetimia,” kilisema chanzo.

Mashuhuda
 wa sakata hilo walidai kuwa mama mdogo na watu wengine waliwanasa 
wawili hao wakiwa juu ya kitanda kama walivyozaliwa, bila kufafanua 
walichokuwa wakikifanya.
Ili kushika ushahidi mkononi, mama mdogo wa binti huyo na wapambe wake walipiga picha za mnato na za video kisha wakaanza kumuuliza maswali ‘mlalamikiwa’ ambaye inaaminika ni mume wa mtu.
Haikuelezwa wazi ni maswali ya aina gani aliyokuwa akiulizwa lakini inadaiwa yalihusu historia ya kujuana kwao.
Aidha, inadaiwa kuwa mama mdogo huyo alitaka kumtwanga ndoa ya mkeka mfanyabiashara huyo lakini chondechonde zake nyingi zilimwokoa na kuahidi kurejea siku inayofuata kwa ajili ya kukata mshiko wa fidia baada ya kuambiwa binti huyo bado anasoma na shuleni kulilipwa fedha nyingi.
Habari 
nyingine zinadai kuwa wawili hao walifahamiana miezi kadhaa nyuma 
kupitia lifti ya gari ambayo mshitakiwa alimpa mrembo huyo maeneo ya 
Boko, jijini Dar.
 
No comments:
Post a Comment