KAMPUNI YA WEMA SEPETU NDANI YA KSAHFA..!! NI BAADA YA DIRECTOR WAKE KUGEUZA GARI YA WEMA KAMA "GESTI HAUSI" NA KUFANYIA NGONO..!!
Blog ya Xdeejayz  imenasa taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia 
mbali aliyekuwa directa wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni
 ufuska uliokubuhi kwa directa wake huyo huku akitumia magari yake kama 
guest ya kumalizia haja zake.Xdeejayz inakupa mchongo mzima
Habari
 za uhakika zilizotua mezani kwa Xdeejayz zilisema kuwa Wema aliamua 
kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeza 
kuikumba kampuni yake" Kwa kweli Wema Sepetu alikuwa anampenda sana Chid
 kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu 
ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa
 na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahara " Kilisema chanzo hicho 
ambacho ni ndugu na Wema
Aidha
 habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa hzio aliamua 
mkutimua Chid kwenye kampuni yake ili kurinda heshima ya kampuni hiyo 
ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto 
wakali" Unajuwa Wema ana mashabidi sana hata ile gari wakati mwingine 
alikuwa inavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii 
ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa 
wakiiona ile gari basi wnaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko
 Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza 
wasichana hao" Alisema dada huyo 
Aidha
 baada ya taarifa hizo XDEEJAYZ ilivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na
 Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea 
kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi
 habari hii inaruka hewani! 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment