adsence

Pages

Saturday, November 23, 2013

MTANGAZAJI ATIMIZA AHADI YAKE YA KUTANGAZA HABARI UCHI. SOMA CHANZO NA TAZAMA VIDEO HAPA


Mwanadada Doria Tillier ametekeleza ahadi yake ya kutangaza taarifa ya habari ya hali ya hewa kwenye kituo kimoja cha Televisheni akiwa uchi.
Mwanadada huyo alitoa ahadi kama Ufaransa itafanikiwa kurudisha mabao 2 waliyokuwa wamefungwa na Ukraine kwenye mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za kombe la Dunia basi
angetangaza taarifa ya habari akiwa kwenye hali ya utupu.
Kwenye mchezo wa marudiano Ufaransa ilifanikiwa kuitandika Ukraine mabao 3-0 na kufanikiwa kukata tiketi ya kwenda Brazil mwakani.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment